19June

MSIDANDIE TRENI KWA MBELE......LOL

Wapenzi you make it hard for me to blog freely these days.......

Post ya Bishes nahisi commnets zingefika elfu moja leo.....lol...


Yani mlipokuwa nyie mie sipo kabisaaaaaaa, i don't know how or why ile post yangu ilienda mbali vile.

Mbona watu kibao wanawekaga repost? Mie nikiweka inakuwa balaaaaaaa.....lol..


Guys i don't have a problem with anyone, thats for sure...

Life's too short to spend it being angry and mad....

Also kufatilia maisha ya mtu/watu ndo mbaya zaidi unaweza kufa na presha....lol...


So please don't fatilia maisha ya watu and conclude this will upset Mange or not.......

Mie sipo huko kabisa yani,,,

Yani mngejua ile post ya bishes nilikuwa namaanisha nini mngeshangaa sana. Wala haikuwa about whoever you thought it was.Sina issue nao maskini ya Mungu,,,,,,

When people are friends it's a good thing not a bad thing jamani. When people are happy be happy for them or else unajitia minuksi bureeeeee....lol...


Life goes on, Y'all need to move on too...........

 

PS: NIPO KWENYE PIRIKA PIRIKA ZA KUHAMA SO MKIONA SIONEKANI HUMU MJUE IM JUST SOOOOO BUSY.....

NEW CITY, NEW STATE, NEW LIFE...... AAAAAAWWWWWWWW...........

18June

ANGALIA VIDEO YA MTANZANIA ALIESHIKWA NA SEMBE EGYPT.....

Hard to tell if she is guilty or not.....

Im not a professional ila i think kalilazimishwa kubeba ili apelekwe kumuona cousin wake huko jela

Jamani kako soooo sweet.......

Hivi bado kuna wabeba unga  wanabeba kwenye masanduku ??? I thought wanameza......

18June

TATIZO LA MAJI UKENI....NISHAURINI

Wapendwa naomba mnisaidie nina tatizo la kuwa na maji maji ukeni especially wakat wa sex yani yananikera sana...nishaurini nifanyeje niondokane na hili tatizo maana nakosa raha inanifanya hadi K ina jamba wakati wa sex nakosa raha i feel like humiliation kwakweli.

Kuwasiliana nasi tuma email kwenda 
 This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
 

17June

FATHER'S DAY 2013......

 

I couldnt ask for a better father for my kids....

I just melt everytime lil' Kenzo goes crazy when he sees his dad drive up driveway......

AAWWWWWWW.......

With open arms he welcomed by daughter intot he family and loves her like his own... for that i will forver respect and him deeply...

Thank you for all you have done to keep the family together.....

Happy father's day hubby.....

 

 

Bongolicious African print shorts for men , coming soon........

Thanks hubby for supporting Bongolicious

 

 

And the  2013  best father award goes to .........

 

 

 

Brunch at Village of Merrick Park....

 

 

 

Dear 'Ol mommy.....

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Kichuna wangu......aaawwwww

 

 

Happy father's day daddy....

Family Brunch....

Ka Kenzo kagomvi kamnyang'anyaje dadake pizza yake, eti lazma ikae upande wake. Uwiii tulikuwa tunachekaaaaaa......

 

 

Stress free life.......... I love my life.....

16June

MWANA FA 'THE FINEST' .....

Mwana FA in Sheria Ngowi

 

Mwana FA on stage in Sheria Ngowi....

 

 

 

 

On that Sheria Ngowi swag....

 

 

 

 

wardrobe ya kina Kaka ilikuwa very very impressive....

 

 

 

 

 

Waheshimiwa walikuwepo....

 

Wema Sepetu alikuwepo....

 

 

Fans wakipagawa....

 

 

Vanessa Mdee alikuwepo....

 

Show ya Mwana FA ilikuwa ni ya 400 people only......

 

PS; I'M NOT ON ANY SIDE............