So nimesoma maoni ya watz wengi on different social networks kuhusiana na kifo cha Ayoub Mlay kilichotokea last night pale Ambrosia club ,Mbezi beach. I have been to Ambrosia mara kibao sababu ndo njia ya kuelekea kwetu mbezi.
Yani kilichoni shock kati ya vyote ni kusikia jina la mshikaji wangu wa toka utotoni Conrad kutajwa kama shooter.... Duh, its truelly a sad day for me and im sure for everyone else who went to Arusha School na alikuwa akimjua Conrad kipindi cha Arusha school.
Sikuwa nikimfaham marehemu vizuri, niikuwa nikimsikia tu, Ila Conrad ni mshikaji wangu wa long time kichizi and the last time i was with Conrad was just 2 months ago,the day before i left Tanzania at a birthday party.... Yani tulikaa same table tunapiga story tunakumbushana vituko vyetu vya primary school tunacheka,little did i know soon mshkaji wangu atakutwa na soo kama hili....
Kwanza sikujua kuna watz wanatembea na bastola. Duh, mtu kama mimi sitokaa hata kununua bastola sababu nanjijua hasira zinikishika kigugumizi kinazidi mara elfu moja siwezi kuongea hata sentensi moja so kinachofata ni kumrushia makonde alieniuzi so siwezi kutaka kuwa na silaha kama hiyo karibu. Jamani mnaojijua mna hasira kali msitembee na bastola bora utolee hasira kwenye blog urushe maneno maisha yaendelee ila haya mambo ya kupigana risasi yanatisha sana.....
wHAT i know is Ayoub and Conrad were really good friends so bado sielewi how Conrad could have shot him. It's confusing aiseee......
Anyways, Conrad's friends mlioko huko Bongo please dont abandon him right now. Right now he needs his friends the most. Maana marafiki wengine ndo wataingia mitini right now....
Poleni sana familia ya Marehemu Ayoub na kwa familia ya Conrad tupo pamoja........
Kwa wanaotaka kuona picha za mwili wa marehemu akiingizwa mochuari baada ya kupigwa risasi click here.
Im sorry mie siwezagi kabisa kuweka picha ya marehemu on my blog, tena aliekufa kifo cha kutatanisha hivi, maana inanikumbusha kuwa hata mie nilifiwa few yrs ago na kama picha za mwili wa babangu zingerushwa kwenye mablog na magazeti nahisi ningedata mara mia zaidi ya nilivyokuwa nimedata...... Bado sielewi watu wanawezaje kupiga picha za mtu akiingizwa mochuari na kuzisambaza, duh kweli tumeumbwa tofauti sana aiseee....

Marehemu Ayob enzi za uhai wake....