20May

NIMEPIKA CHAPATI KUTUMIA RECIPE YA KIJARUBA......TAMUJE!!!!

 

 

Mange you can share this if you don't mind,mana Kijaribu aliomba tumpe feedback...

Nimetumia recipe aliyotuwekea Kijaruba juzi kwenye topic ya Chapati

 

kwakweli nilikuwa sijawahi kupika chapati ikatokea tamu na nzuri kiasi hiki.Zimetoka soft sana, zamani nilikuwa nakandia maji ya uvuguuvugu na nilikuwa siwezi kwenye fridge.Kwakweli nimefuata maelekezo yako na nimefurahia.Hata kama sijawafikia wengine kwa ujuzi but binafsi nimepiga hatua kubwa.Thank you Kijaruba.Mzungu na watoto wamefurahi,tumezifaidi sana,wamejilambaje vidole sasa?.Sasa naomba ziangaliwe chapati tu, sio ooh sijui kitambaa kibaya, sijui kimetoboka, sijui sahani ina madoa,mara meza mbaya, mshumaa wa nini lol! hapana, tafadhali sana, swala hapa ni chapati,thank you.Greetings from Europe!

19May

R.I.P AYOUB MLAY........

So nimesoma maoni ya watz wengi on different social networks kuhusiana na kifo cha Ayoub Mlay kilichotokea last night pale Ambrosia club ,Mbezi beach. I have been to Ambrosia mara kibao sababu ndo njia ya kuelekea kwetu mbezi.

Yani kilichoni shock kati ya vyote ni kusikia jina la mshikaji wangu wa toka utotoni Conrad kutajwa kama shooter.... Duh, its truelly a sad day for me and im sure for everyone else who went to Arusha School na alikuwa akimjua Conrad kipindi cha Arusha school.

Sikuwa nikimfaham marehemu vizuri, niikuwa nikimsikia tu, Ila Conrad ni mshikaji wangu wa long time kichizi and the last time i was with Conrad  was just 2 months ago,the day before i left Tanzania at a birthday party.... Yani tulikaa same table tunapiga story tunakumbushana vituko vyetu vya primary school tunacheka,little did i know soon mshkaji wangu atakutwa na soo kama hili....

Kwanza sikujua kuna watz wanatembea na bastola. Duh, mtu kama mimi sitokaa hata kununua bastola sababu nanjijua hasira zinikishika kigugumizi kinazidi mara elfu moja siwezi kuongea hata sentensi moja so kinachofata ni kumrushia makonde alieniuzi so siwezi kutaka kuwa na silaha kama hiyo karibu. Jamani mnaojijua mna hasira kali msitembee na bastola bora utolee hasira kwenye blog urushe maneno maisha yaendelee ila haya mambo ya kupigana risasi yanatisha sana.....

wHAT i know is Ayoub and Conrad were really good friends so bado sielewi how Conrad could have shot him. It's confusing aiseee......

Anyways, Conrad's friends mlioko huko Bongo please dont abandon him right now. Right now he needs his friends the most.  Maana marafiki wengine ndo wataingia mitini right now....


Poleni sana familia ya Marehemu Ayoub na kwa familia ya Conrad tupo pamoja........


Kwa wanaotaka kuona picha za mwili wa marehemu akiingizwa mochuari baada ya kupigwa risasi click here.

Im sorry mie siwezagi kabisa kuweka picha ya marehemu on my blog, tena aliekufa kifo cha kutatanisha hivi, maana inanikumbusha kuwa hata mie nilifiwa few yrs ago na kama picha za mwili wa babangu zingerushwa kwenye mablog na magazeti nahisi ningedata mara mia zaidi ya nilivyokuwa nimedata...... Bado sielewi watu wanawezaje kupiga picha za mtu akiingizwa mochuari na kuzisambaza, duh kweli tumeumbwa tofauti sana aiseee....

Marehemu Ayob enzi za uhai wake....

19May

A BEAUTIFUL SATURDAY....

Kenzoki...

 

 

 

Bongolicious Vintage Dress.......Coming soon.....

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Passport size....lol.....


Put down ur phone please..... lol.....


Lunching with my kids @ Cheesecake factory.... Just the 3 of us..... Quality time...

 

I ate all this.....All by myself....lol..

 

Jamani Kenzo mbishi wa kushikwa mkono...

'livi me lon' ndo Leave me alone....lol...

 

Me and my kids...

 

My life.....

 

My world....

 

Kenzoki at the beach...

 

 

A very happy lilttle boy....lol...

 

Kenzo just loves the beach....

 

 

Enjoying the last few weeks of having a killer body and rocking bikinis....lol....


17May

VODACOM FOUNDATION LIVE CHAT......

Leo itakapotimia saa sita kamili (12pm) usikose kuungana katika mahojiano ya moja kwa moja (LiveChat) na Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Bw. Yessaya Mwakifulefule. Endapo una swali lolote kuhusu Vodacom Foundation tafadhali usikose kuwa nasi kwa kubofya linki hii http://ow.ly/fLqjx

17May

CASSIE MAKES US CHAPATIS.....HEHEHEHHEHEHE

Lil' domesticGoddess in the making.....too cute...

 

Mama mtu can't make chapati but daughter mtu kama make chapati... hahahhahahahaha...

Thank you bibi Bhoke........

 

 

Don't disturb, somebody is super busy.....hehehehhehehe

Jamani this kid loves to cook.... Duh....... She really is my daughter......hahahhahahahhahahahahaha

 

 

We will miss our cute lil' kitchen......