WEMA SEPETU ROCKING OUR AFRO KINKY CURLY HAIR

Huyu apa mdogo ake nani???????????

Wema is rocking our Afro Kinky Curly hair.

She is wearing 4 bundles, 24,22,20 and 18 inches + a lace closure

Thank you so much for your support my love…..

We sell the best quality hair at really great prices.

BONYEZA HAPA KUONA NYWELE ZETU

Kununua kama uko Tanzania na unataka kulipia kwa MPESA contact number hii 0764 484700 na kulipia kwa mpesa kwa number hiyo pia.

Kama uko nje ya Tanzania you can contact  +1 305 498 3696

Read More

LATE POST: JAMANI KIFO CHA HUYU BINTI KINA NINI NDANI YAKE?????

I have been so caught up na biashara na b’day ya Kenzo mpaka nimepitwa na bahari za maana.

Hivi kuna anaejua what really happened to this chick??

nimeskia alikuwa anaandamwa sana na wadada huko twitter mpaka akawa depressed,

Alivyokufa wengi wakadhani amejiua kumbe kauwawa. Naskia hao wadada walimwambia watamkomesha then

mara amekutwa kafa tena katupwa mtaroni baada ya kufanyiwa ukatili.

I refuse to believe wanawake wa kitanzania tumefikia sehemu ya kugombana mpaka kutumiana watu waje wakutoe roho…

mnaoijua hii story kiundani embu tuambieni jamani….

REST IN PEACE BETTY….

Hizi ni moja ya tweet zake za mwisho kabla hajafa

Read More

DHL TANZANIA NI KITUKO…….

 

Jmanai embu chekini hiyo tracking number ya mzigo, mzigo umeingia bongo toka August 23 ,leo ni Sept 3th DHL bado wanasema mzigo uko customs.

Jamani is this even normal? Hivi Tanzania kuna problem gnai yarabi toba????? Sasa mnataka kujua matokeo ya mzigo kukaa customs muda mrefu hivyo ni nini? vitu vinaibiwa ndani ya mzigo… THAT’S MY EXPERIENCE…

Haki ya nani  ni hivi kuliko kutumia dhl kutuma vitu bongo ni bora hata utumie posta ya kawaida….hawa watu achaneni nao kabisaaaaaaaaa hawafai….

Yani wakati naanza hiii bishara ya hollywood shopaholics wateja wengi mno walini omba nisitume vitu kwa DHL sababu wamepata very bad experience nao

ila mimi nikasema nisisikilize maneno ya watu ngoja kwanza niwajaribu nione. Na niliweka topic ya DHL kwa instagram wafanyakazi wao wakaja juuuuu

kuwa watu wanaongea tu, anyways naandiaka hii huku natetemeka kwa hasira.

Toka nianze biashara nimekuwa nawatumia sana dhl ila leo ndo nimefikia mwishoooo maana kwanza nilisema labda ni bahati mbaya ila sio bahati mbaya thats how they work.

OMG, yani  ni hivi mzigo unakaa unafika Tanznaia then unakaa Tanzania hata 2 weeks eti wanafatalia kuutoa customs ili ulipe taxes.

FIne tunakubali kulipa taxes but why keep it for 2 weeks??? whats the point ya mtu kutuma mzigo express kama ukifika Tanzania unakaa customs for 2 weeks na pesa ulipe juu ya japo sasa si bora tu mtu utumie ile posta yetu pale jamani?????

Jamani ni hivi nilituma mzigo bongo last week kwanz aumekaa customs  for  more thab a week  jana umetoka 2 dresses are missing jamani, imagine hao wateja mie nawaambia nini???? imebidi niwa refund tu fastaaaa….. Yani wamenyakua evening dress moja na gauni ya kawaida moja,

sasa sijui vitu vimeibiwa customs au DHL sijui mimi nachojua ni kwamba vitu vimepotea…..

Kuna mzigo wangu mpaka sasa hivi wanao more than a week now

kila siku wanapigiwa simu wanasema eti wanafatilia customs hivi ni ungese gani huu jamani?????

is it fair kweli? I dont care kama ni tatizo la customs au nyinyi wenyewe, my question is whats the point ya kutumia courier service kama service yenu ni mbayaaa zaidi ya posta????? tena na mizigo inaibiwa huko customs mnapoiweka?

Namna hii watanzani tutajikomboa na umaskini kweli???????? Hivi mnataka watanzaniatuwe maskini mpaka lini? kwanini hamtupi ssupport sisi tunaojituma jamani? hivi namna hii si mnaua biashara za watu???

DHL Just in case mkifikiria kunipeleka mahakamni for defamation nimeshajiweka tayari na ma tracking number na makila kitu…

NIMETUMA COMPUTERS,NECK MASSAGERS AND NGUO KWA EMS LAST WEEK NA VITU VIMEFIKA IN 3 DAYS Yani nimetuma one week after kutuma mzigo niliotuma kwa dhl ila wa EMS umefika na kutolewa same day nyie mmzigo wangu mmoja mmeutoa jana tena huku nguo mbili zimeibiwa mzigo wa pili mpaka  leo hamjautoa kila siku tunapiga simu mnajibu tu kuwa mnafatilia

DHL TANZANIA HIVI DHL HEADQUATERS WANAJUA JINSI MNAVYOHARIBU JINA LA DHL KWA HUKU TANZANIA?

HIiv wabunge wetu wako wapi??? wao wana hangaika namakatiba ya kingese ambayo yawaafect everyday life ya mtanzania kama hizi kero za customs.

Hivi kwanini asijitokeze mbunge hata mmoja akashughulikia ujinga wa shipping??? tena ilibidi waziri wa biashara awe resposbible pia, hivi  Tanzania  ita compete vipi kwenye biashara kama hakuna shipping infrastructure inayoeleweka???? full kuboa yani

Read More

KENZO’S JAKE AND THE NEVERLAND PIRATES COSTUME B’DAY PARTY @ THE CROWNE PLAZA

A huge thank you to all parents and kids that came to Kenzo;s party on such a short notice.

Some even made the effort to get pirate costumes.

Nilikuwa Houston the whole of August, sikuwa hata na number za wazazi wa watoto wanaosoma na Kenzo,

i called his school last week kuomba number na address za wazazi ili niwatumie invites kitu ambacho hawakuweza kufanya bila conscent

nilipata only a few contacts nikatuma invites mpaka zinawafikia hao wazazi the party was less that 7 days away…Wasingekuja sijui party ingekuwaje..

yani hata sija mind kuwa wengine hawakuvaa hizo pirate outift maana hiyo kuja tu nishukuru maana wenzetu wa huku umwalike kwenye party muda mfupi hivyo hajiiiiiiii,, wengine walikuwa wananiomba msahama hawajapata time ya kutafuta costume, uwiii nikawa naawaambia the fact kuwa wamekuja is more than enough hayo mambo ya costume ni makosa yangu mwenyewe na usswahili wangu wa kualika watu kwenye costume party ndani ya siku 6…hahahahha

mswazi mswazi tu,,, ila jamani nilikuwa so busy na Holywoodshopaholics ndo maana hata nikashindwa kuandaa party ya mtoto vizuri…

Baba mtu ndo uwiiii hajafanya chochote maana he is extra busy with his new role….

ANYWAYS, WE ARE SOOO HAPPY PARTY ILITOKEA HIVI KAMA KWENYE PICHA…..

YES, HOLLYWOOD SHOPAHOLICS SASA TUTAANZA KUSUPPLY KIDDIE PARTY STUFF AND COSTUMES

FOR BOTH KIDS AND ADULTS….. KUTAKUWA NA PAGE KWENYE WEBSITE YA HOLLYWOODSHOPAHOLICS CALLED

PARTY TIME………

MAANA BONGO KUNA UKAME WA COSTUMES JAMANI KHA, SASA NATAKA MTU AKITAKA KUFANYA COSTUME PARTY NIWE NAWEZA KUWATUMIA

HII BANNER PIA NTAKUTENGENEZEA YENYE JINA NA HATA PICHA YA MWANAO UKITAKA…. ….

OMG, I love the centre piece.its a treasure chest……

AMAAAAIIIZING….

JAKE AND THE NEVERLAND PIRATES TABLE SETTING…..

Uwii hizi hela zina jina lake special, ngoja ntamuuliza Kenzo zinaitwaje…hahaha

jamani mwanangu is addicted to Jake and his pirate friends… yani sasa hivi Jake ndo bahari ya mujini ndani kwetu.Yani nilikuwa hata simjui huyu

Jake ila Kenzo ka make sure nyumba nzima tumemjua Jake na wenzake….lol…

Party buckets,,,,,, I didnt want to do party bags they are too common and soooo last yr…hahahahha……

But feel free to order party bags maana hizi buckets ni more expensive than the bags…….

These are not the usual paper party cups, these are actual plastic reusable cups.

Ni vizuri mnooo kushinda vile vya makaratasi. Ila kama uko na budget ndogo bora ununue tu vile vya makaratasi,

ila kama na wewe ni mama shughuli kama mimi nunua hivi, vizurijeee sasa…..

Party buckets with baloons…..

Thanks to my darling daughter, Cassandrah who helped me decorate this room,

I did hire like 3 poeple to help us decorate the room., la sivyo mie na Bhoke peke yetu tusingeweza….

Jake and the neverland pirates candies……

Yes theme yoyote ile ukiwa nayo mpaka pipi ntakutengenezea za hiyo theme….

CAKE BY HANSEN CAKE BEVERLY HILLS,

THEY MAKE CAKES FOR CELEBRITIES …HAHAHA,,,MAMA MASHAUZI I JUST HAD TO MENTION THAT….

CAKE BY HANSEN CAKES BEVERLY HILLS…

This is custom made cup stand, tutakutengezea cup cake stand kama hii

ila tutabadilisha theme tu ili iendane na theme yake….

SWEET CORNER……

Yes We also have customized Jake and the neverland pirates, cup cake wrappers and toppers…

We can make these in any theme you want @ really great prices

THIS IS A CUSTOMIZED JAKE AND THE NEVERLAND PIRATES CUP CAKE STAND…

THIS IS A HAND MAKE STAND……

CUSTOMIZED JAKE AND THE NEVERLAND PIRATES LOLLIPOPS…

PARTY ROOM @ THE CROWNE PLAZA

PARTY ROOM,,,,

PARTY ROOM….

Kenzo akiingia partini na Captain Jack Sparrow…lol..

Boy did he make and entrance… hahahahhaha

Jack Sparrow was a hit with the kids….

Jamani mwanangu alikuwa na rahaje, embu ona hilo smile???

OMG, MY SON WAS SOOOO HAPPY….

omg

Awwww, look at this sweet princess, she is Kenzo’s classmate….

A

This ballons were a hit….. watoto walidataje….

hahahaha cute…

raise your weapon….

Birthday boy kati kati….

me,me,me,me

I swear watoto wali enjoy sana, yani this is what i wanted

yani nilitaka watoto wawe busy na michezo the whole time…

awwwww,bubbles!!!

more games….. it was just soooo much fun…

happy kids…

Little Laarkin…..

Pirates taking the loot…..lol…

hAHAHA LITTLE PIRATE BABY….

MY CENTRE PIECES GOT ATTACKED…….LOL….

Mama Mzaa chema

My babies…

Me and my Cameroonian friend, DAISTY…

Keanu and i posing with Laarkin’s parents

hahahahaha, how happy is baby Keanu…… awwww

Dinner time….

My Cameroonian friend ,Daisy and her hubby Marcel…..

Pinata time….

Tutakuletea kila mtu mpaka pinata ita match na theme yako

Pinata time

Party room…

Happy birthday to you….

Dada mtu leading the birthday song……

hahaha kubloe candles mpaka mashavu yatapasuka…

CUP CAKE TIME…

CU

HAHAHAHAH

Dada Bhoke giving out the cup cake….

Mommy giving out the customized lollipops….

yes, we can customize lollipops too….

Gift buckets

Kenzo giving thanking his guests for coming  to his party and giving out the gift buckets….

Thank you for comming cousin….awwwwww

Kenzo’s cousins are too cute…

The party buckets were a hit… The kids loved them….

Kenzo alivaa costume ya Jake mwenyewe….awwwww

Yes ntakuwa nauza na hizi costume za watoto for all kids of parties….

Check the website later this week ntauwa nime up load a bunch of stuff for kids parties

Ntakuwa nawatumia event organizers wanaitwa decorplace

they are very very reasonably priced and really good, ntakuwa nawatumia hawa sababu kuna vitu vingine

haviwezi kuja vizima vizima kama hizp cup cake stand inabidi vikifika waviunganishe then wakupa

Also ni wapambaji wazuri mnooo na bei zao hakuna mtu Dar anawafikia hata robo./…

Kenzo and mommy…

Kenzo,mommy and daddy…

Wakati napiga picha mara DJ kaanza kupiga skelewu , uwiii nkaanza yarudi hapo hapo…hahahhahaha

awww, Keanu,mommy and daddy

My world right here….

Larkin and her family….

They looked amazing…

Lucas and his family….

What a beautiful family….

Austin and his family…

Jake and the kids….

KWA MAELEZO YOOOOTE KUHUSU BRITHDAY SUPPLIES ZETU PLS WASILIANA NA

+255 764 484700 UNAWEZA PIGA SIMU AU KUCHAT NAO KWENYE WHATSAPP.

WATACHUKUA ORDER YAKO NA KUJIBU MASWALI YAKO YOOOOTE.

NA KULIPIA KWA MPESA NI NUMBER HIYO HIYO

JINA LA MPESA YA HIYO ACCOUNT NI MANGE KIMAMBI

EXCHANGE RATE YETU NI 1,662

Read More

GUESS THE THEME OF KENZO’S BIRTHDAY PARTY AND YOU WIN ALL THE PARTY STUFF….

Yani jana ndo tumerudi L.A alafu kesho ndo birthday party ya Kenzo….

uwiiiiii mi nachekesha eeeh? eti nimerudi 2 days before the party…

Jamani mwanangu haelewiiiii, yani amelilia party mpaka basi, tunamwambia utamwalika nani marafiki weneywe unao wawili haskii

. Kuna siku nilimpeleka kwenye bday party akamwambia huyo mttoto mwenye bday,” I like your party, I have never had a birthday party. Never ever”

Roho iliniumaje sasa? ile ya mwaka mmoja wala haikumbuki maskini. Basi mi na babake tukaona tumfanyie tu kaparty kazuri hata kama tukiwa watu 10 ilimradi birthday party na sio lunch ,,,,

Leo ndo nimeamkia huko kwenye venue maana kila kitu nilikuwa nafanya kwenye simu venue sijaiona……

Dada mtu ndo yupoke busy na kuaandaa party…

going through everything with the party planner……

HAYA THE VERY FIRST PERSON TO GUESS THE THEME OF KENZO’S 4TH BIRTHDAY PARTY

ATASHINDA VITU VYOTE NTAKAVYOTUMIE KWENYE PARTY.

AMBAVYO VIPO CUSTOMIZED NA JINA LAKE NTAKUTENGENEZEA VIPYA.

BANNER, WALL POSTER, SAHANI, CUPS AND NAPKINS NTAKUNUNULIA MPYA, NTLALIPIA NA SHIPPING.

HII WAZIRI YOYOTE ANAWEZA KUSHINDA SIO WALE WA ZAMANI PEKE YAO…

ILA LAZMA UWEWAZIRI MEANING LAZMA UWE NA USERNAME YAKO HUMU…..

Read More
1 2 3 108
Designed by muzemultimedia web design Tanzania