HS- MISCELLANEOUS CATEGORY….

Please allow me to introduce Hollywood shopaholics miscellaneous category.

In this category you will find products that have nothing to do with fashion.

Can be anything in the world, but mostly products that are needed in Africa. So please be sure to check this page often.

You will find great products at really great prices.

Our very  first product in this category is this family size above ground pool. 

It is huge, measure 400 * 211 * 81. comes complete with a pump.

It costs $390. shipping included. We will ship it via air cargo to any city in the world.

You will be responsible for picking up your package at the airport. We will give you all the documents you need to pick up the pool.

This pool can be delivered in 7 days to any city in the world.

you can buy it right now on www.hollywoodshopaholics.com

Read More

IT’S ALL ABOUT KEANU…..

Yani mwanangu Kenzo kasahauliwa, toka tufike huku babu na Bibi ni Keanu tuuu…

Eti babu hata akinap mchana ana nap na Keanu mkononi….hahahaha

Muone, kila mtu anamtaka yeye, kaka mtu ananunajeeee….

Yani nikikaa pembeni nikiwangalia hawa ,roho yangu nyeupeeeeeeeee…

Mtu na dadake….

Mtu na babu yake…..

Mtu na daddy ake.,,, zamani Kenzo ndo kila mtu alikuwa ataka mbeba kwa pool

eti sasa hivi wanamwacha tu mwanangu, ngoja mamake nipate bikini body yangu ntambeba mwenyewe mwanangu kwa pool….

Kisses from daddy….

Keanu loves to swim, kaone kanavyochekelea…hahahhaha

Aawwwwww……

Nimewazaa hawa jamani…. awwwwww

Keanu ni balaa usimsogeleee hata na nguo yeye anatafuta nyonyo tu,,,,

kagoma maziwa ya chupa, so no more dieting, huyu mtoto ni balaaaaaaaa, anataka mamake niwe

chubby kama yeye….lol….Akifika 6 months nampa uji ndo atajijua mwenywe,

Awwww, jamani Keanu kaingia miezi minne juzi….

Maxi dress available on www.hollywoodshopaholics.com

PS: JAMANI IM SOOOO BUSY, YANI SINA MITOKO SINA NINI, NIPO KWENYE LAP TOP MUDA WOTE MPAKA NABOA WATU

MAANA SINA HATA MAONGEZI NI KUUZA TU….

AHSANTENI SANA WOOOOOTE MNAONIUNGUSHA……MBARIKIWE SANA SANA SANA……

JAMANI NNA SWALI HIVI MGAO NIFANYAJE???? YANI NAOMBA USHAURI MGAO TUUGAWAJE? NANI APATE NINI, YANI PROCESS IWEJE

MAANA INABIDI NIZITUME KABLA BABA KEANU HAJAZITUPA… HAHHAHHAHA

Read More

HELLO HOUSTON…..NIPO MUJINI…….

So I have been in Houston for about 2 days now…..

Mume wangu anaproject hapa ya kama 4 months hivi……So atakuwa between here and LA for the next 4 months ila

muda mwingi atakuwa hapa….. Mimi ntakuwa hapa na wanangu mpaka Bhoke afungue shule then tunarudi zetu LA,which will be

first week of September……. My hubby is excited about the project maana he hasnt worked on a US project for yrs… I mean anakaa US ila project zake

zote zipo nje ya marekani ,mostly Uarabuni…. Ataenda kunionyesha hiyo project next week, can’t wait to see it……

Leo mie na mwanangu tulikuwa tuna photoshoot,,

uwiiiii jamani kuna joto hapa yani hapo ni tunapiga picha haraka tuingie ndani maana joto balaaaaa….

Toto ya mommy has been soooo helpful jamani…….

Nimestopisha diet kidogo mpaka huyu jamaa aache nyonyo kabisa

maana nilikuwa namtes  mtoto…lol……

Huyu Keanu ni balaa jamani hataki maziwa ya chupa, duh, hivi nikimwacha kwa mtu wiki nzima si atayanywa tu?

Ananichezea akili tu huyu mtoto….. Mamake nataka niwe modo yeye hataki… 4 months now  chupa hatakiiiii….lol….

All these pieces are available for sale www.hollywoodshopaholics.com

Read More

BABA KACHACHAMAAAA……..

 

Hahahaha, nimechekaaaaaaa, na nyie chekeni mnenepe……..

OMG, Kitoto kilivyonyanyuliwa na dadiiii,lol. Hapo mwisho baba maneno yamemtokaaaaaaaa…Na mke ni jeuriiiiii….lol….

I want to know nani huwa mchoyo kama huyu mama,

SEKYUUUU ULENITUMIA, HUJATULIAAA.ETI ,YANI MANGE MIE NI HUYO MAMA MTUPUUUUU….HHAHAHAHAHAAAAAA

Read More

HUYU MWANAMKE NDO ANAENIFUNDISHAGA MANENO……..

Uwiiii yani toka ile posti ya juzi watu wananiuliza niwaeleze natoa wapi maneno….inabidi nicheke tu….

Kuna mmoja kanichekesha eti, Mange hapo ndo  primary school umesoma Arusha School, High school umesoma Zimbabwe, kutoka hapo

marekani ,hivi ungesoma na sisi mtakuja Primary school je????? umekulia Mbezi Beach nyumba ukuta futi 10 hivi ungekuwa umeishia na sisi 

huku kwetu Mbagala???? uwiiiii nimechekeaaaaaa… Yani hanielewi anataka kujua kama nna kamusi ya maneno….

Nkasema let me share my secret professor wa maneno… Haki ya nani zamani nilikuwaga sinaga maneno ya kumwambia mtu nikichukia.

Alafu na hii internet inanisaidia maana naandika maneno, hiyo michambo niliyoandika juzi embu niambie niiseme live  na hiki kigugumizi kama hujacheka hadi ujikojoleeeee?

maana lile gazeti nililoandika na hichi kigugumizi nahisi ile michambo ingenichukua wiki nzima kuisema kwa mdomo….hahahaha

mi ndo maana hata kuchambana kwenye simu na mtu staki maana hata huyo nnae chambana nae hasira zitamwisha itambidi anicheke tu jinsi  navyogugumia….. hahahahhhahaha……

Alafu na zile hasira nilizokuwa nazo juzi ndo kabisaaaaaaaa,nikiwaga na hasira ndo shiderrrrrrrrrrrr naweza hata kuzimia kwa kukosa hewa maana nafungua mdomo mpaka mwisho neno halitoki, ndo maana mtu akiniletea maneno live -uso kwa uso huwa sijibu inabidi tu nimvute maskio…kudadeki kweli Mungu anajua watu wa kuwapunguza maneno maana angeniwezesha kuongea straight kama wengine wakati wa ugomvi pangekuwa hapatoshi, ngekuwa nasindikizwa na ngoma ya Khanga moko nyuma nkienda suta mtu….hahahahhahahahaha…

Basi mwenzenu huyo dada Makavu Live ndo mwalimu wangu, jamani dada anachamba huyu sijapata kuona…. Tafuteni video zake zingine au kila wiki ntakuwa nawarushia video moja muwe mnacheka wanasema ukicheka unaongeza siku za kuishi….tucheke jamaniiiiiiii……..

Mmesikia hapo alipoongea kuhusu kunywa soda moja masaa matatu hunywi unalambalamba tu? ndo hapa nilipo copy na kupaste wakati nawapa ushauri kina fundenge jinsi ya kunywa soda moja usiku mzima…hahahahhhahahahha

Nampenda sana MAKAVU LIVE…..HAHAHAHAHA ,,,Kuna video yake moja naipendaaa maana huo mchambo nilihisi ananichamba mimi maana

mimi ndo niko hivyo alafu nimeshindwa kuacha mpaka leo…..Ntawawekea sometime this week mcheke mnenepee……

Bye the way naona  kuna mawaziri  wangu wanene mlikuwa offended juzi , jamani please dont be, kila mtu ana kitu cha kuchambwa mwilini mwake awe mnene au mwembamba, wale ni wanene so nikawatafutia michambo ya wanene hata wangekuwa wembamba ningewatafutia michambo wa watu wembamba si unajua mtu ukimchukia humchagulii tusi…. Kuna sehemu hapo dada makavu live kasema “mwanamke mkavu utadhani amekamuliwa ndimu” sasa wangekuwa wembamba shepu za kibetina ndo ngewapa hilo la “wakavu ka wamekamuliwa ndimu” lol……

No one is perfect kila mwanamke ana uzuri wake na ubaya wake, hata uwe mnene kama nyumba una uzuri wako bibi wewe, na hata uwe mwembamba ka kijiti una uzuri wako vile vile….. So wala sina dharau na wanawake wanene,kwanza kuna wengine wanene wazurijeeeeeeeeeee,mwenyewe nikawaangalia huwa natamani tubadilishane,,,Maana mwanamke nyonyo saa sita, kiuno nyingu, sasa cheki mambo chini huko, keshatoka toka nje ya nyumba tako bado liko sitting room. Hilo guu lake utadhani mapaja ya Keanu yote mawili, chezea wewe…lol..

PS: Mawaziri wangu wote vibonge na fans wangu vibonge mliokuwa offend juzi Im very sorry, it wasnt my intention. Kama mnavyojua kwenye vita siku zote huwa kuna collateral damage, yani hawa ni  watu innocent wanaouwawa au kuumizwa kwa bahati mbaya bila kukusudia……

Read More
1 2 3 103
Designed by muzemultimedia web design company los angeles