ANOTHER DAY IN BONGO……..

Hii jumpsuit ipo inauzwa kwenye website yangu

www.hollywoodshopaholics.com

ingia kwenye glamdresses au bottoms utaipata……

Ntakutumia soon as nikirudi US…..

Im slowly falling in love with my hair….lol..

Leo nilienda pata kitu cha ugali na Makange sehemu inaitwa LUCAS mitaa ya slipway…..

Killy, Loveness and I ,lunching at Lucas….

Na siku yangu iliishia hapa na mamangu naKeanu….

Aisee nimesha gain 3kgs..uwiiii nakulajeeeeeee,

Bongo diet uongo mtupu…hahahahahha now napata dinner ya wali wa nazi na njegere na kuku ya kukaanga pembeni,.uwiiiiiiiiiiii

Read More

SHUGHULI YA LUNCH NA WATOTO JUMAMOSI…

Hi Guys,

Kwanza kabisa ahsanteni kwa wote mliotoa chochote na mnaoendelea kutoa chochote…..

Sasa shughuli itakuwa Jumamosi hii, kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 9 mchana….

kituo kipo Mbweni….

Tafadhali piga number hii ili upate kuelekezwa vizuri sehemu, mimi huwa sio mzuri wa kutoa directions……

0715  720 022.

Mnaotaka contacts za kituo msijali Saturday ntawawekea full contacts ili muweze kwenda wenyewe mpaka huko……..

Read More

KUELEKEA EVENT YETU YA JUMAMOSI…..

Leo nilienda kwenye kila kituo cha watoto yatima cha Mbweni, ambapo tutafanya ile lunch na kisomo cha Jumamosi….

Hawa ni watoto wadogo wa nursery school ,hawa wana darasa lao hapo hapo kituoni na mwalimu wao

anakujaga kuwafundisha hapo hapo kituoni… Wakubwa ndo wanaenda kusoma shule za kawaida huko nje…

Today na watoto…. Nyuma ni mwalimu wao……

Nikiwa na mama yao mlezi tukishauriana cha kufanya kwa ajili ya kutengeneza ceiling board ili watoto wasing’atwe na mmbu….

Hapa ndo wanaposalia….

Fundi niliekwenda nae hapo kituoni akipiga hesabu zake….

Ntafanya nachoweza ,sidhani kama ntaweza nyumba nzima

ila kiasi ntaweza….kesho fundi atatoa estimate nzima…

Nikipiga story na mama yao mlezi…..

Watoto wakubwa wakiwa wanawasili kituoni from school….

Jamani Ahsanteni sana mlionitumia michango through MPESA, na Ahsanteni sana mlionitumia vitu/mizigo kwa ajili ya event,

mbarikiwe sana……….

jamani ile simu yangu ya Tanzania keyboard inazingua sana ,so wasiliana na mimi kwa whatsapp yangu ya marekani

+1 305 498 3696. Yani nimeshindwa hata kuwapa ahsante waliotuma msaada, nisameheni tu jamani… Simu ilikuwa inazingua

mpesa bado ni ile ile 0764 484700…….

Read More

CHILLING @ MY OFFICE……

M

Leo nime spend most of the day ofisini kwangu nikiwa nagawa

mizigo ya wateja…..

I love my clients they are awesome….

My lil’ sis who is also my manager anawekaje miziki mizuri humu ndani, nachezaje sasa…haahaha

Love love love my walls….

Love my furniture, I imported everything from China, yes China

tena nimenunua online kila kitu, nikavisafirisha kwa Silent Ocean kutoka China mpaka bongo….

Le big boss……

Ahsanteni sana wateja wangu kwa support yenu….

excuse the small/sofa stool ni ya changing room ila leo changing room imejaa mizigo ya wateja hakuna nafasi……

Leo asubuhi nilienda CRDB bank kushulikia mambo ya simbanking, online purchasing  with my tembo card and online banking.

Basi nikiwa pale dada mmoja  nilipishana nae wakati mie naingia benki na yeye akiwa anatoka akanisalimia na mie nilisimama nikasalimia nae  na kuongea kidogo then tukaagani, after about 10 mins alirudi tena bank na aliniletea hizi pesa zikiwa ndani ya hii barua…..

baada ya kufungua na kusoma yani I was sooooooo touched……

Yani hii ndo classic example ya ” AN ACT OF KINDNESS” 

Aisee we dada ahsante sana, this was very very sweet of you.

Read More

Nywelee

nenda dar free market office #37 1st floor kuanzia dakika hii

Kama huna password utaambiwa ulogin.

Jamani kama una account tu ila you are a not regular when it comes to commenting Pls usipoteze time Yako … Kama kina nimo sijui few more mliiomba password nikachuna.

 

Only regulars are eligible. Hata kama huna password njoo. Ukifika utaambiwa ulogin kwa account yako ili tuwe sure..

 

Goodluck to all of you

 

UPDATE

Mshindi wetu C’s MOM akiandika signature,jina na password…..

Yani alitinga ofisini na wanae kina C kabisaaaaa…hahaha, umetisha mpenzi….

Read More
1 2 3 122
Designed by muzemultimedia web design Tanzania