NAOMBA USHAURI WA CHEAP BUT GOOD MAKEUP BRAND…..

Hey ladies,

sasa ni hivi soon tutaanza kuuza makeup za Mac.

Tutauza authentic Mac only, you can be sure of that.

Kama mnavyojua sio kila mtu Africa anaweza kununua Mac, sasa natafuta another line ya makeup

ambayo ni much much cheaper than Mac ambayo nitakuwa nauza as a second make up line….

Iwe cheap lakini iwe na quality nzuri tafadhali.

Nitatuma samples Tanzania, zitakuwa Golden Jubilee towers so kabla hujanunua utakuwa unajua exactly wewe ni number gani ili

usinunue makeup  ambayo sio ya rangi yako…..

Please naomba suggestions za makeup ambazo zinapatikana marekani, sababu nataka kununua makeup marekani.

Ahsanteni…

PS: Kuhusu mgao wa nguo, jamani nguo ni kwa mawaziri tu, tena niliowataja kama  last time…….

sasa nilitaka tu kujua yani waziri gani anapata nini, mie nilifikiria nizitume tu nguo bongo

then ntawaambia muende wapi saangapi, then inakuwa first come first serve, yani atakae fika wa kwanza anawahi anachotaka nawa mwisho atapokea kilichobaki…lol….Mnaonaje????

Read More

YEAH BABY, IT’S ABOUT THAT TIME………. HOLLYWOOD FRESH…….

YAP, BONGO’S MOST PIMPING PARTY IS BACKKKKKKKKKKKKKKKK

IT’S HAPPENING TODAY (FRIDAY) @ MLIMANI CITY ……..

FIKA PALE UPATE KUSHAKE HANDS NA WATOTO WA KISHUA, MAMBO YA SUMMER HAYO

WA MAMTONI WOOOOTE  WATAKUWEPO HAPO….MAMBO YA WATOTO WA O’BAY…..

YAP, YOU CANT MISS THIS ONE……. MAMBO YA WHO’S IS WHO OF BONGO…….

IF THERES A NIGHT YOU NEEDED TO DRESS TO IMPRESS, THIS IS IT………

PULL OUT THEM LOUBS, EM’ ARMANI SUITS AND SEE YAH ON THE RED CARPET BABYYYYYYYY

 

 

 

Read More

DAH,,,,, POLE CONRAD, POLENI NDUGU ZA MLAY…..

My heart breaks for both families……

Conrad nimesoma nae Arusha School. Alikuwa mshkaji wangu  sana yani…… Ndo maana namwonea huruma sana,

maana Conrad nilieuwa namjua mie primary sio huyu, na ndo maana nam support maana nimemjua long time yani…

Na one month kabla ya hili janga nilikuwa nae kwenye mnuso mmoja hivi, yani tulikaa same table tukawa tuna catch up , nimerudi marekani nimekaa kidogo 

tu hili janga likatokea……

Mlay sikumfahamu lakini pia I feel for his family, na wao watakuwa wanaumia sana….

Conrad akivutwa na maaskari jana kupelekewa mahakamani kwa kosa lile lile la kumuua Mlay wakati wa ugomvi……

Jamani naomba kuuliza hivi Tanzania shtaka la murder lina dhamana? si halina

sasa walimwachiaje Conrad for more than 6 months yuko uraiani?

Yani justice system ya bongo bwana, wanaijua wwenyewe, yani wakivutwa huku basi wanafata upepo….

Maana wanamtoaje mshtakiwa wa mauaji for more than 6 months , then wamkate tena upya kwa kosa lile lile???

Anyways, hili ni la kumwachia Mungu tu……

#TEAMCONRAD

Read More

HS- MISCELLANEOUS CATEGORY….

KAMA NI NGUMU KWAKO KUNUNUA ONLINE TUNA MALIPO YA MPESA AMBAYO WENGI NDO WANAYOTUMIA…..

UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA WHATSAPP +1 305 498 3696

AU EMAIL: HOLLYWOODSHOPAHOLICS@GMAIL.COM

Please allow me to introduce Hollywood shopaholics miscellaneous category.

In this category you will find products that have nothing to do with fashion.

Can be anything in the world, but mostly products that are needed in Africa. So please be sure to check this page often.

You will find great products at really great prices.

Our very  first product in this category is this family size above ground pool. 

It is huge, measure 400 * 211 * 81. comes complete with a pump.

It costs $390. shipping included. We will ship it via air cargo to any city in the world.

You will be responsible for picking up your package at the airport. We will give you all the documents you need to pick up the pool.

This pool can be delivered in 7 days to any city in the world.

you can buy it right now on www.hollywoodshopaholics.com

UPDATE:

Okay so wateja wa hii swimming pool wamelalamika sana kuhusu kutoa mizigo wenyewe kuhangaishana na watu wa TRA pale cargo, so

tutautoa mzigo wenyewe na kukuletea mpaka mlangoni kwako….. Tumeona hata mizigo mikubwa ya kwenye hii category ya Miscellaneous tutakuwa tunaitoa wenyewe na kuilipia tazes wenyewe….

SO the price for this pool is now $670 utaipata ndani ya siku 5 tu…….

Read More

IT’S ALL ABOUT KEANU…..

Yani mwanangu Kenzo kasahauliwa, toka tufike huku babu na Bibi ni Keanu tuuu…

Eti babu hata akinap mchana ana nap na Keanu mkononi….hahahaha

Muone, kila mtu anamtaka yeye, kaka mtu ananunajeeee….

Yani nikikaa pembeni nikiwangalia hawa ,roho yangu nyeupeeeeeeeee…

Mtu na dadake….

Mtu na babu yake…..

Mtu na daddy ake.,,, zamani Kenzo ndo kila mtu alikuwa ataka mbeba kwa pool

eti sasa hivi wanamwacha tu mwanangu, ngoja mamake nipate bikini body yangu ntambeba mwenyewe mwanangu kwa pool….

Kisses from daddy….

Keanu loves to swim, kaone kanavyochekelea…hahahhaha

Aawwwwww……

Nimewazaa hawa jamani…. awwwwww

Keanu ni balaa usimsogeleee hata na nguo yeye anatafuta nyonyo tu,,,,

kagoma maziwa ya chupa, so no more dieting, huyu mtoto ni balaaaaaaaa, anataka mamake niwe

chubby kama yeye….lol….Akifika 6 months nampa uji ndo atajijua mwenywe,

Awwww, jamani Keanu kaingia miezi minne juzi….

Maxi dress available on www.hollywoodshopaholics.com

PS: JAMANI IM SOOOO BUSY, YANI SINA MITOKO SINA NINI, NIPO KWENYE LAP TOP MUDA WOTE MPAKA NABOA WATU

MAANA SINA HATA MAONGEZI NI KUUZA TU….

AHSANTENI SANA WOOOOOTE MNAONIUNGUSHA……MBARIKIWE SANA SANA SANA……

JAMANI NNA SWALI HIVI MGAO NIFANYAJE???? YANI NAOMBA USHAURI MGAO TUUGAWAJE? NANI APATE NINI, YANI PROCESS IWEJE

MAANA INABIDI NIZITUME KABLA BABA KEANU HAJAZITUPA… HAHHAHHAHA

Read More
1 2 3 103
Designed by muzemultimedia web design company los angeles